[wanabidii] HOTUBA YA RAIS KIKWETE KWA TAIFA - 11/29/2014

Saturday, November 29, 2014
Hivi punde Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Prof Jakaya
Kikwete atalihutubia taifa kupitia
vyombo vya habari ambapo hotuba
hiyo itatolewa kwenye Ukumbi wa
Uwanja wa Ngege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
mambo ambayo yanatarajiwa
kujitokeza kwenye hotuba hiyo ni
taarifa ya ugonjwa wake na jinsi
alivyotibiwa. Pia suala la ESCROW
litajitokeza kwenye hotuba hiyo.
Stay Connected pia TBC 1 wako
moja kwa moja
UPDATES
* Rais amewasili uwanjani na kwa
sasa yupo kwenye chumba maalum
(VIP) uwanjani hapo. Baadhi ya
watu muhimu waliojitokeza
kumpokea ni pamoja na Meya wa
Jiji la Dar es Salaam Didas
Masaburi, Mkuu wa Mkoa wa Dar
es Salaam, Said Mecky Sadick,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati
na Madini Eliakim Maswi, Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa, Benard Membe,
wakuu wa vyombo vya ulinzi na
usalama nk.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments