Ndugu zangu salaam. Leo katika katika mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Uria cha Tanzania (OUT) nimehitimu na kutunukiwa Shahada ya Sheria (LLB) makao makuu ya Chuo hapa Bungo Kibaha.
Nawashukuru nyote kwa msaada wenu wa hali na mali mlionipa katika nyakati tofauti kwa njia moja au nyingine.
Asamteni sana.
Balile, D. M.
Mhariri Mtendaji,
Gazeti la Uchunguzi la JAMHURI
Sent from Samsung Mobile
0 Comments