[wanabidii] KIGOGO WA CHADEMA JIMBO LA KAWE AHAMIA ACT - TANZANIA

Thursday, October 02, 2014
Batuli Abdallah aliyekuwa Katibu mwenezi wa Bawacha jimbo la kawe aliyeshinda uchaguzi wa mwaka huu ajiunga na ACT-Tanzania na waliokuwa wanachama wa Cdm jimbo la kawe 72 wameondoka na kujiunga na ACT pamoja na Batuli. 
Ametoa salamu kwa Halima Mdee kuwa aanze kufungasha virago kwa kuwa hata tetetea tena jimbo hilo kawe. 
Pamoja naye aliyekuwa Mjumbe wa serikali ya mtaa matofalini kigoma mjini naye ajiunga na ACT. 
Na pia Eng Mohamed Ngulangwa kutoka CCM na Slyvester Kasonya aliyekuwa Afisa na muasisi wa Chauma naye pia ajiunga na ACT. 
Chanzo Jambo Leo tarehe 1/10/14

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments