Nawakaribisha Ingetrex Tanzania, ni Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara, ambayo yatafanyika kwa siku 3 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, kuanzia Tarehe 15 hadi 17 ya mwezi huu wa May.
Kwa taarifa tuu, kwa msiojua, hata toothpicks tunazotumia, tumeshindwa kutengeneza, tunaagiza kutoka nje!.
Hapo sijazungumzia pini, vwembe, vifungo, miswaki, etc etc, hivi ni vitu vidogo vidogo tuu, tunashindwa!, kwa vikubwa jee?!.
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/8af328d3-ba9f-47d4-bc14-8fa2f7853fc3%40googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments