[wanabidii] LOWASSA TUMAINI JIPYA TANZANIA 2015-2025

Thursday, April 10, 2014
LOWASSA TUMAINI JIPYA TANZANIA 2015-2025

Sisi vijana hususani wasomi wa nchi hii Tanzania tunaimani Kubwa sana na Edward Lowassa.Tunasema anafaa kuwa Raisi wa Tz kwa maana hakuna wazili mkuu aliewahi kuwa shupavu kama yeye,pia sababu zifuatazo zinaonyesha anatufaa

1.Lowassa ni mchapa kazi,kwa wale waliopata bahatii ya kufanya nae kazi,huwasili ofisini saa 12 asubuhi kwa ajili ya kuwahudumia wananchi,huwatumikia wananchi kwa nguvu zake zote,

2.Hana ubia na wazembe kwenye serikali atakayoiunda,Lowassa hawezi kuwavumilia wazembe,wasiotaka kuwatumikia wananchi,wazembe hawatakuwa na nafasi kwenye serikali ya Lowassa

3.Wezi wa Mbolea na wahujumu uchumi wa kila aina hawatakuwa na Nafasi kwenye serikali yake

4.Nyota ya kiongozi iking'aa na nchi yake hung'aa pia,Nyota ya lowassa inang'aa sana hivyo tunaimani ya kwamba Tanzania itakuwa kama Ujerumani......

5.Lowassa ni mzee wa maamuzi magumu,idadi ya tume zisizo na mashiko zitapungua.....

6.Hatunashaka ka Watoto wetu kusoma Bule chini ya Serikali ya Lowassa

7.Hatuna shaka na kuboreshwa huduma za afya na mahitaji mengine ya Lazima chini ya Serikali shupavu ya Lowassa......
Mungu mbariki Lowassa,muwezeshe kutimiza ndoto yake ili aikomboe Tanzania...........

Tulihuzunika pamoja na tutafurahi pamoja 2015 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments