[wanabidii] URAIS 2015 - UDHAIFU WA DR W P SLAA

Friday, August 01, 2014

-         Alifukuzwa Upadre wa Kanisa Katoliki

-         Ni kinganganizi mfano aliposhindwa kwenye kura za maoni mwaka 1995 jimboni karatu akakimbilia CHADEMA

-         Alibadilisha Katiba ya CHADEMA kuhusu ukomo wa madaraka ili awe madarakani Milele na chaguzi zisifanyike

-         Ametekeleza Mke wa kwanza na watoto mpaka ameshtakiwa mahakamani

-         Mchumba ake wa sasa ni Mke wa Mtu .

-         Ana ulemavu mkono mmoja , alipata ajali mwaka 2010

-         Ni mtu mwenye hasira na mropokaji hovyo .

-         Hajawahi kufuta kauli ya kutomtambua Rais Jakaya Mrisho Kikwete  

-         Hana historia nyingine ya kitaaluma zaidi ya Upadre na Ubunge .

-         Hashiriki Mchezo wowote .

-         Amejikopesha mamilioni ya CHADEMA 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments