[wanabidii] Mohamedi Shaaban Mtoi Achunguzwe kutokana na Kifo cha Amiri Mtoi

Wednesday, August 27, 2014

Ndugu zangu , Jamaa Zangu ,

Naleta ujumbe huu mbele yenu kuomba jeshi la polisi limchunguze Mohamedi Mtoi ambaye ni mfanyakazi wa CHADEMA makao makuu kutokana na Kifo cha Ndugu yake Amiri Mtoi .

Amiri mtoi alifariki kutokana na mlipuko wa Mabomu mkoani arusha .

Baada ya kifo cha Amiri Mtoi , Mohamedi Mtoi alihamishiwa Makao makuu ya Chama .

Inawezekana kuna uhusiano kati ya Mabomu , Kifo na Mohamedi Mtoi kuhamishiwa Makao makuu ya Chama .

Kufuatia tukio hilo tunaomba uchunguzi ufanyike .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments