Habari za asubuhi,

Zainul A. Mzige,
-- Tafadhali pokea CODES hizi hapa chini.

Mgeni rasmi Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP Mh. Mohammed Dewji (Mb) ambao ndio wadhamini wakuu wa sherehe za uzinduzi wa jarida la IRIS Executive (katikati), Ofisa Mtendaji Mkuu wa IRIS Executive Development Centre, Phylisiah Mcheni (kulia) na Makamu wa Rais wa MeTL GROUP, Bw. Vipul Kakad wakiwa meza kuu kwenye hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa jarida IRS Executive ambalo tolea la jipya ukurasa wa mbele limepambwa na picha ya Mh. Mohammed Dewji "MO". (Picha na Zainul Mzige wa MOblog)

Na Mwandishi wetu

OFISA Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP na Mbunge wa Singida Mjini kupitia tiketi ya CCM, Mohammed Dewji, amesema kazi ya kutengeneza utajiri sio rahisi, inahitaji mipangilio madhubuti na uvumilivu ili kufanikisha lengo hilo.

Mbunge huyo ambaye kampuni zake zimeajiri watu 24,000 sawa na asilimia 5 ya ajira rasmi nchini, amesema kutengeneza utajiri hakufanyiki kwa njia ya kupanda lifti bali ni ujenzi wa tofali kwa tofali hadi nyumba kukamilika.

Akiwa anaendesha kampuni ambayo pato lake hadi mwishoni mwa mwaka huu litakuwa ni za Marekani bilioni 1.5 amesema uwezo huo haukupatikana mara moja bali umetokana na nia pamoja na kutrumia vyema fursa zinazopatikana nchini.

Amesema katika uzinduzi wa Jarida la IRIS Executive linalomilikiwa na Kituo cha Maendeleo cha IRIS Executive Development Centre ambacho kina ofisi Tanzania, Kenya na wawakilishi nchini Uganda na Rwanda Vijana wa Tanzania wapo katika nchi inayofaa na wakati muafaka na hivyo wanauwezo mkubwa wa kutoka kiuuchumi.

Alisema wakati uchumi wa afrika unakua kwa asilimia 5 na wa dunia kwa asilimia 8 uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia 7 hali inayotoa nafasi kubwa kwa vijana kusonga mbele ili mradi wachapekazi kwa bidii na maarifa.

Mhariri Mtendaji wa jarida la IRIS Executive, Mike Mina akielezea historia fupi ya gazeti hilo kwa wageni waalikwa(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi rasmi wa jarida hilo ulifanyika usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Dar Es Salaam Serena. Kushoto ni Meneja Masoko wa jarida la IRIS Executive, Alinda Henry.

Katika uzinduzi wa jarida hilo lenye nakala 40,000 mtaani katika nchi zote za Afrika Mashariki na likizingatia mahitaji ya ukuaji wa uchumi Afrika Mashariki, Dewji maarufu kama Mo amewataka vijana kuhakikisha kwamba wanatoa habari kwa haraka na kwa muda muafaka kwani ndio kichochea cha uwekezaji na uendeshaji.

Alikubaliana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti hilo Mike Mina kwamba habari ni kitu muhimu katika kufanikisha uwekezaji na biashara, lakini akasisitiza habari zinaoztolewa katika muda muafaka.

IRIS Executive ambalo katika toleo lake la pili limeandika habari kumhusu Mo ambaye kwa miaka 15 amefanikiwa kuiondoa MeTL kutoka pato la dola milioni 30 hadi dola bilioni 1.5,huandika na kufuatilia masuala ya maendeleo hasa katika sekta zinazogusa uchumi moja kwa moja kama fedha na benki, uzalishaji viwandani, mafuta na gesi, kilimo na uwekezaji.

Toleo lake la kwanza lilimgusa Ofisa Mtendaji wa IPP, Dk Reginald Mengi.

Akizungumza historia yake kabla ya kuzindua jarida hilo alisema kwamba yeye alizaliwa nyumbani na mkunga wa kienyeji 1975 kama walivyo watanzania wengi na kwamba amefikia hapo kwa bidii kubwa akitaka vijana kuiga safari hiyo kwa kutumia vyema fursa zilizopo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Maendeleo cha IRIS Executive Development Centre ambao ndio wamiliki wa jarida la IRIS Executive, Phylisiah Mcheni akizungumza na wageni waalikuwa kwenye uzinduzi huo.

Kampuni ya MeTL inafanya shughuli anuai kwenye sekta mbalimbali, ikiwemo kilimo na viwanda, lojistiki, huduma za fedha,majumba ya biashara, petroli,vinu vya kusindika nafaka,vifaa vya plastiki, usambazaji na masuala ya simu.

Aidha kampuni hiyo inajivunia kufanya biashara katika nchi za Ethiopia, Malawi, Msumbiji, Zambia, Dubai, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, Sudan Kusini na Kenya huku ikiwa na viwanda zaidi ya 31 nchini Tanzania pekee.

Dewji amepata elimu ya juu kutoka Chuo Kikuu cha Georgetown nchini Marekani ambacho katika baadhi ya maelezo yake anasema ndio iliyomfumbua macho na kuona umuhimu wa kutumia fursa za ushindani wa kibiashara duniani.

Mara nyingi MO amekuwa akisema,Falsafa yake kama mfanyabiashara sio kuridhika na mafanikio aliyonayo bali kuendelea kufanyakazi kwa bidii na kufanikiwa zaidi. Alisema.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mh. Mohammed Dewji "MO" (Mb) ambao ndio wadhamini wakuu wa sherehe za uzinduzi wa jarida la IRIS Executive akitoa nasaha zake kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa jarida hilo usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Dar es Salaam Serena.

Naye Ofisa Mtendaji Mkuu- IRIS Executive Development Center, Phylisiah Mcheni akimkaribisha MO kuzindua jarida hilo, pamoja na kumshukuru kwa kudhamini uzinduzi huo pia alisema, IRIS Executive ni jarida pekee lenye makazi yake nchini Tanzania kuweza kufika nchi zote za Afrika Mashariki kwa idadi za nakala na taarifa zilizomo ndani zinazolenga uwekezaji na biashara kwa watendaji ni matumaini yetu kwamba wasomaji watakuwa siku zote wanajua nini kinachoendelea kwa manufaa yao, makampuni na sekta mbalimbali zinazochangia katika kukua kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa.

Aidha pamoja na kulipata jarida hilo la IRIS Executive katika nakala halisi pia hupatikana katika mtandao kwa anuani ya www.irisexecutive.com

Uzinduzi huo ulihudhuria na maofisa watendaji wa ngazi mbalimbali kutoka makampuni yanayojishughulisha na uwekezaji,biashara, habari na utamaduni.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Maendeleo cha IRIS Executive Development Centre ambao ndio wamiliki wa jarida la IRIS Executive, Phylisiah Mcheni (kulia) akiitambulisha timu yake ya vijana na jarida hilo kwa wageni waalikwa.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mh. Mohammed Dewji "MO" (Mb) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Maendeleo cha IRIS Executive Development Centre ambao ndio wamiliki wa jarida la IRIS Executive, Phylisiah Mcheni wakijiandaa kuzindua rasmi jarida hilo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mh. Mohammed Dewji "MO" (Mb) akizindua rasmi jarida hilo huku ukurasa wa mbele ukiwa umepambwa na picha yake sambamba na mahojiano maalum aliyoelezea mafanikio na changamoto mbalimbali alizopitia katika biashara hadi hapo alipofika. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Maendeleo cha IRIS Executive Development Centre ambao ndio wamiliki wa jarida la IRIS Executive, Phylisiah Mcheni akishuhudia tukio hilo.

|It's now official launched".....Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mh. Mohammed Dewji "MO" (Mb) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Maendeleo cha IRIS Executive Development Centre ambao ndio wamiliki wa jarida la IRIS Executive, Phylisiah Mcheni wakifurahi pamoja baada ya uzinduzi rasmi wa jarida hilo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mh. Mohammed Dewji "MO" (Mb) akikata keki maalum iliyoandaliwa kusindikiza uzinduzi huo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mh. Mohammed Dewji "MO" (Mb) akimlisha kipande cha keki Mhariri Mtendaji wa jarida la IRIS Executive, Mike Mina.

Mgeni rasmi Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mh. Mohammed Dewji "MO" (Mb) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa jarida la IRIS Executive. Kutoka kushoto ni Ofisa uhusiano na raslimaliwatu wa IRS Exexcutive, Beatrice Silayo, Jokha Sadiki, Ofisa Mtendaji Mkuu waKituo cha Maendeleo cha IRIS Executive Development Centre ambao ndio wamiliki wa jarida la IRIS Executive, Phylisiah Mcheni, Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP, Mh. Mohammed Dewji "MO" (Mb),Mhariri Mtendaji wa jarida la IRIS Executive, Mike Mina, Meneja Masoko wa jarida la IRIS Executive, Alinda Henry na Ofisa anayeshughulikia masuala ya Fedha wa jarida la IRIS Executive Bw. George Saltai.

Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) na Katibu wa Mbunge wa Singida mjini, Hassan Mazala (kulia) naye alikuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa. Katikati ni Ofisa anayeshughulikia masuala ya Fedha wa jarida la IRIS Executive Bw. George Saltai.

Picha juu na chini ni baadhi ya wafanyakazi wa jarida la IRIS Executive na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi huo.

Meneja Mkazi wa Shirika la Ndege la Rwanda, Hafeez Balogun (kushoto) na Meneja Mauzo wa Shirika la Ndege la Rwanda, Dhruv Parmar (katikati) pamoja na Meneja Mkuu wa African Life Assurance, Bw. Wilson Mnzava (kulia) wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakijiri kwenye halfa hiyo.

Msaidiz wa Mh. Mohammed Dewji "MO" Nicole Cherry akipiga picha matukio mbalimbali kupitia simu yake ya kiganjani wakati wa hafla hiyo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Maendeleo cha IRIS Executive Development Centre ambao ndio wamiliki wa jarida la IRIS Executive, Phylisiah Mcheni akibadilishana mawazo na Meneja Mkazi wa Shirika la Ndege la Rwanda, Hafeez Balogun (katikati) na Meneja Mauzo wa Shirika la Ndege la Rwanda, Dhruv Parmar (kushoto) kwenye sherehe za uzinduzi wa jarida hilo.

Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Lulu Mengele (kulia) akibadilishana mawazo na Mhariri Mtendaji wa jarida la IRIS Executive, Mike Muna wakati wa uzinduzi wa jarida hilo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Maendeleo cha IRIS Executive Development Centre ambao ndio wamiliki wa jarida la IRIS Executive, Phylisiah Mcheni (wa pili kulia) katika picha na mmoja wa wageni waalikwa wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa jarida la IRIS Executive ambalo kwa sasa liko mitaani na unaweza kujipatia nakala yako.

Mbunifu wa Mavazi nchini Tanzania, Sheria Ngowi akisalimiana na Meneja Mkuu wa African Life Assurance, Bw. Wilson Mnzava wakati wa uzinduzi wa jarida hilo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mikono Business Consult Deogratius Kilawe (kulia) akisalimiana na Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania, Sheria Ngowi kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa jarida la IRIS Executive uliofanyika usiku wa kuamkia leo.

Mbunifu wa Mavazi nchini anayefanya vizuri katika soko la kimaifa Sheria Ngowi (kulia) akiwa na Mkuu wa kitengo cha Masoko cha Sheria Ngowi Brand, Deogracious Kessy wakati wa uzinduzi wa jarida la IRIS Executive.

Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
+255714940992.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments