MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA
30th AUGUST 2014.
HAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA UINGEREZA LINAPENDA KUWATANGAZIA WANACHAMA NA WAPENZI WOTE WA CCM KUTOKA PANDE ZOTE ZA UINGEREZA KWAMBA KUTAKUWA NA MKUTANO MKUU WA TAWI TAREHE 30.08.2014 UTAKAOFANYIKA KATIKA JIJI LA READING KATIKA ANUANI IFUATAYO;
THE PAVILION (FORMERLY RILEYS CLUB)
143 – 145 OXFORD ROAD READING
RG1 7UP
KATIKA MKUTANO HUO PIA KUTAFANYIKA UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA TAWI LA CCM UINGEREZA ILI KUJAZA NAFASI INAYOACHWA WAZI NA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAWI HILI TOKA KUANZISHWA KWAKE NDUGU AINA OWINO ANAYENG'ATUKA NAFASI HIYO.
WAGOMBEA WA NAFASI YA MWENYEKITI WA TAWI WALIOPITISHWA NA HALMASHAURI KUU YA TAWI ILIYOKUTANA TAREHE 02.08.2014 NI;
PETER GABAGAMBI
KANGOMA KAPINGA
SAID SURURU
WANACHAMA WOTE NA WAPENZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA MNAHIMIZWA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MKUTANO HUO ILI KUTUMIA NAFASI YAKO PEKEE KUMCHAGUA KIONGOZI ATAKAYELETA MABADILIKO KATIKA TAWI.
WANACHAMA WOTE NA WAPENZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA MNAHIMIZWA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MKUTANO HUO ILI KUTUMIA NAFASI YAKO PEKEE KUMCHAGUA KIONGOZI ATAKAYELETA MABADILIKO KATIKA TAWI.
Imetolewa na Idara ya Itikadi Siasa na Uenezi
Chama Cha Mapinduzi Tawi La Uingereza.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments