Benson Kigaila azomewa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mwanga center kigoma mjini baada ya kusema Zitto Kabwe alipewa hoja ya Bunzwagi na sekratarieti ya CDM na kwamba hoja wanazotoa wabunge wa CDM bungeni si zao ni za chama watu wakigoma wamepata mshituko mkubwa Kigaila aliposema CDM makao makuu huwa inateuwa viongozi toka Kigoma kwa kuwasaidia na kwa upendeleo maalumu kwani wanakuwa hawana sifa na vigezo akatolea mfano Dr.Kaborou,Zitto,Shaban Mambo na Sabrina Sungura na akaeleza sababu ya kupendelewa kasema ni kura ambazo chadema hupata Kigoma kwenye chaguzi mbalimbali nchini alipozungumza kauli hiyo ndiyo zomeazomea ikazidi.
Na leo ndio ametangaza timu mpya aliyoisimika Kigoma kwenye mkutano huo wa hadhara na kuacha majonzi mjini Kigoma baada ya kuwa viongozi wote walioteuliwa hawakubaliki kabisa na Watu wa Kigoma.
Na watu wakigoma wakaanza kuzomea tena na huku wakisema watu hao hawana uwezo wa kuvaa viatu vya Alhaji Kasisiko,Shabaani Mambo na Msafiri Wamalwa.
Ni majonzi makubwa Kigaila Leo Kigoma.
Watu wa Kigoma wameomba viongozi wa ACT-Tanzania waende na kadi za kutosha kwenye mkutano wa hadhara utakaofanyika kesho Ujiji "Cine Atlas" na gari linalotangaza huo mkutano mjini Kigoma linashangiliwa sana kila eneo linakopita.
-- Na leo ndio ametangaza timu mpya aliyoisimika Kigoma kwenye mkutano huo wa hadhara na kuacha majonzi mjini Kigoma baada ya kuwa viongozi wote walioteuliwa hawakubaliki kabisa na Watu wa Kigoma.
Na watu wakigoma wakaanza kuzomea tena na huku wakisema watu hao hawana uwezo wa kuvaa viatu vya Alhaji Kasisiko,Shabaani Mambo na Msafiri Wamalwa.
Ni majonzi makubwa Kigaila Leo Kigoma.
Watu wa Kigoma wameomba viongozi wa ACT-Tanzania waende na kadi za kutosha kwenye mkutano wa hadhara utakaofanyika kesho Ujiji "Cine Atlas" na gari linalotangaza huo mkutano mjini Kigoma linashangiliwa sana kila eneo linakopita.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments