[wanabidii] AKAUNTI YA TWEETE YA MHE BERNALD MEMBE IMEVAMIWA

Saturday, August 16, 2014
AKAUNTI YA FESIBUKU YA MHE BERNALD MEMBE IMEVAMIWA

Ndugu zangu ,

Akaunti anayotumia Mhe Bernald Membe katika TWEETER  imevamiwa na watu hao wamefanikiwa kutuma ujumbe wa kitapeli kama inavyoonekana kwenye attachment .

Kikundi hicho cha watu kimefanikiwa kuingilia au kutengeneza akaunti feki kwa majina ya watu maarufu kisha kutepeli au kuhujumu wenzao .

Tuwe makini 




Hapa chini kuna mjadala uliendelea wa waheshimiwa bila kujua kama akaunti hiyo imevamiwa 

Kwa Kauli hizi Mbunge wa Mbeya Mh. Joseph Mbilinyi hujatumia busara.. Tazama retweett ya John Mnyika hukupaswa ulete siasa katika jambo kama hili

RETWEETTED POST

@‪#‎Lady_JayDee‬ "Hongera sana Muheshimiwa waziri kwa msaada wako"

@‪#‎Ridhiwani_Kikwete‬ "Unastahili pongezi kwa mchango wako dhidi ya watanzania"

@‪#‎John_Mnyika‬ "Bila kujali vyama kwa hili nakupongeza na pia nawapongeza Taasisi ya Vicoba kwa mikopo wanayotoa isiyokua na riba kubwa, nimepata nafasi yakutembelea tovuti yao www.vicobatanzania.wapka.mobi nakuona jinsi taratibu zao za utoaji mikopo, naimani itawasaidia sana watanzania kwa mahitaji ya mikopo."

@‪#‎Shy‬-Rose_Bhanji "Pongezi kwao vicoba, pongezi kwako Comrade Benard Membe"

@‪#‎Said_Fella‬ "good work @Mh. Membe nakupongeza kwa mchango wako katika jamii"

@‪#‎Joseph_Mbilinyi‬ "Watanzania hawataki Propaganda ni vizuri ulivyojitolea ila haina mana kutangaza tunajua 2015 inakaribia ndio mnaanza kusaidia watanzania hahahaha.. hiyo Taasisi ya Vicoba tunafahamu ipo muda mrefu na mara kwa mara hata katika vikao vya bunge hua tunawashauri watanzania kujiunga na vicoba katika mfuko wa focus vicoba na tovuti yao hawa vicoba www.vicobatanzania.wapka.mobiimezinduliwa tokea mwaka 2012 mbona hukuwahi kutoa msaada? Unangojea karibia na uchaguzi 2015, Duh jipange upya."



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments