Leo ni ile kesi ya Mh Kafulila aliyoshtakiwa na IPTL, PAP ndio inatajwa leo satatu asubuhi hii.
Kafulila anasimamiwa na mawakili wa Taasisi za LHRC ya akina Bisimba na Tasisi ya Human Rights Deffenders. Hizo taasisi zimejitolea bure
Inawezekana tukafika mwisho wa wizi wa IPTL ambao umekuwa mfupa ulioshindikana awamu tatu sasa. Mkapa alikalia report ya uchunguzi ya waliohusika mkataba wa IPTL ambayo ingepelekwa mahakama ya ICSID mkataba ungeshavunjwa. Hivyo ikulu imekalia report hiyo mpaka leo.
Patrick Lutabanzibwa aliyekuwa katibu mkuu wakati huo alipomtaka Mkapa amruhusu awasilishe report hiyo ICSID Mkapa akamwambia huu ni mwezi Agosti 2000, miezi miwili ijayo ni uchaguzi, ikienda ICSID itakuwa public na upinzani ungeitumia kwenye uchaguzi na ingewasumbua.
Report hiyo ina kila kigogo aliyehusika na alivyo husika kwa ushahidi wa kimahakama.
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments