Si jambo jema, lakini wanastahili pongezi Simba Sports Club, kwa maana ukomo wa upeo wao katika soka umefikia hapo, kwamba Kocha huyo hatakiwi.
Nitawapongeza zaidi ikiwa ukomo huo huo utawafikisha kuwatimua viongozi ambao tangu waingie madarakani kwa mara ya kwanza, kufungwa, mara ya kwanza kumfukuza kocha na iwe mara ya kwanza kwao kufukuzwa, ili rekodi nzuri ikae pale Msimbazi.
Simba oyeeeeeeeeeeeee
0 Comments