Subject: YAH: Hongera Professor Kitila Mkumbo,
From: Eberi Manya <ebermanya@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
CC:
Hongera sana prof Kitila Mkumbo kwa kutunukiwa Uprofessor, najua haikuwa kazi rahisi kufikia ngazi hiyo ya juu kabisa ya Elimu. Mungu akutangulie katika hatua hiyo. Tunakuombea utumie taaluma yako na usomi wako katika kuwasaidia jamii na taifa letu kwa ujumla. Tunao wasomi na viongozi wengi kabisa katika taifa hili kama wewe, lakini bado hawajaweza kuchukua nafasi zao kama wasomi na kuwa msaada kuisaidia nchi yetu. Sote tunaamini kuwa wewe utakuwa tofauti. Tunaomba ujiheshimu na pia uheshimu taaluma na usomi wako bila kujali changamoto zote utakazokutana nazo katika jamii yetu mpana. Tumia usomi wako vizuri kuisaidia na kuishauri taifa letu bila kujali changamoto utakazokutana nazo mbele, mradi tu uwe ni ushauri wa kujenga na kwa faida ya wote. VERY CONGRANTS PROFESSOR KITILA MKUMBO.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments