Mbwana Sammata ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji ambao wako based Afrika na Abaumeyang(Gabon) ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wote -Afrika na kuwashinda Yahya Tuore (Ivory Coast) mbaye ameshika nafasi ya pili na Andre Ayew (Ghana) nafasi ya tatu.Hongera sana Mbwana Sammata kwa ushindi huo. WaTanzania tuna la kujivunia!!
--Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at https://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CANQ8X_HwUH%2BBi37PJDWdRnJn0GUa-M-P5LKPT-SsYRe9%3DeoUxQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments