DK.SHUKURU KAWAMBWA(WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI), KESHO ATAFUNGA MAFUNZO YA JINSI YA KUANDAA MIJADALA ,MIKATABA NA WAWEKEZAJI ILIYOWAHUSISHA MAOFISA WA JUU WA BIASHARA TOKA MATAIFA 15 KATIKA HOTELI YA HABOUR VIEW, DAR ES SALAAM SAA TATU ASUBUHI.MAFUNZO HAYO YAMERATIBIWA NA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO(UB).
Sent from my iPad
0 Comments