[wanabidii] DK.KAWAMBWA KESHO ATAFUNGA MAFUNZO YA BIASHARA NA KUANDAA MIKATABA YA UWEKEZAJI

Thursday, August 21, 2014




DK.SHUKURU KAWAMBWA(WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI), KESHO SAA TATU ASUBUHI KATIKA HOTELI YA HOBOUR VIEW DAR ES SALAAM, ATAFUNGA MAFUNZO  YA JINSI YA KUANDAA MIJADALA ,MIKATABA YA UWEKEZAJI ILIYOWAHUSISHA MAOFISA WA JUU WA BIASHARA TOKA MATAIFA 15.MAFUNZO HAYO YAMERATIBIWA NA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO(UB).
Sent from my iPad

Share this :

Related Posts

0 Comments