HIZI NDIO DATA BUNGE MAALUM LA KATIBA NILIVYONYAMBULISHA WAJUMBE WAKE NA MUELEKEO WENYEWE WA KUPATA 2/3 YA KURA.
1. Nukuu ya kwanza.
Jumla ya wajumbe wote ni 624.
Kupata 2/3 NCHI NZIMA ni wajumbe 418.
Wajumbe wote wa BARA ni 478.
Kupata 2/3 ya BARA ni wajumbe 98.
Wajumbe wote wa ZANZIBAR ni 146.
Kupata 2/3 ya znz ni wajumbe 98.
2. Nukuu ya Pili.
Jumla ya wajumbe wote wa CCM ni 315.
Wajumbe toka BARA ni 268.
Wajumbe toka ZANZIBAR ni 47.
3. Nukuu ya Tatu.
Jumla ya wajumbe UKAWA wote ni 106.
Wajumbe toka BARA ni 74.
Wajumbe toka ZANZIBAR ni 32.
4. Nukuu ya Nne.
Jumla ya wajumbe MAKUNDI MAALUM nchi nzima ni 201.
Wajumbe toka BARA ni 134.
Wajumbe toka ZANZIBAR ni 67.
5. Nukuu ya Tano.
Jumla ya wajumbe OTHERS wote ni 2.
Wajumbe wote toka BARA ni 2.
Hawa ni TLP na UDP.
6. Nukuu ya Sita.
ILI CCM IWEZE KUPITISHA MABADILIKO NA YAPITE YA SERIKALI MBILI INAHITAJI ZIADA YA WAJUMBE HAWA ILI KUFIKIA 2/3.
Wajumbe toka BARA ni 52.
Wajumbe toka ZANZIBAR ni 51.
7. Nukuu ya Saba.
ILI UKAWA IWEZE KUPITISHA MABADILIKO NA YAPITE YA SERIKALI TATU INAHITAJI ZIADA YA WAJUMBE HAWA ILI KUFIKIA 2/3.
Wajumbe toka BARA ni 246.
Wajumbe toka ZANZIBAR ni 66.
Na ili UKAWA waweze kukataa ya serikali mbili inahitaji WAJUMBE 17 tu toka ZANZIBAR ili wafikie 49 sababu wao wapo 32 hapo hakipitishwi kitu sababu 2/3 ya wajumbe toka ZANZIBAR ni 98 hivyo ukichukua wote 146 toka 49 unapata 97.
8. Nukuu ya Nane.
WAJUMBE waliopo nje YA BUNGE mpaka sasa ni
UKAWA wajumbe ni 103.
MAKUNDI MAALUM wajumbe ni 23.
OTHERS wajumbe ni hakuna.
CCM wajumbe ni hakuna.
9. Nukuu ya Tisa.
WAJUMBE waliopo ndani ya BUNGE mpaka sasa ni.
CCM wajumbe ni 315.
UKAWA wajumbe ni 3.
MAKUNDI MAALUM wajumbe ni 178.
OTHERS wajumbe ni 2.
10. Nukuu ya Kumi.
Wajumbe toka MAKUNDI MAALUM wameteuliwa na RAIS.
Wajumbe wa UKAWA wote toka ZANZIBAR ni wa chama cha CUF.
MWISHO.
1.JE katiba itapatikana au laa?
2. Itakuwa ya serikali ngapi?
3. Kulingana na data hizo nani wasanii?
NAWAKILISHA MIMI NI MTANZANIA DAIMA.
Hashim Omari Mmbaga..
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments