Ninavyoona mimi Katiba hii ni ya watu wachache sana lakini hasa ya Sitta, Wassira na Lukuvi. Watu milioni 50 tunatengenezewa katiba na watu 3 tu? Kweli Tanzania kuna tatizo kubwa sana, si bure!!! Iweje watu watatu ndio wana influence mchakato wote wa katiba?? there something wrong somewhere!!
Related Posts
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments