Fw: [wanabidii] nafasi ya kazi hii hapa

Monday, August 11, 2014

On Monday, August 11, 2014 12:54 PM, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Wakuu, ni kwamba nafasi ya kazi tulioitangaza haihitaji mtu mwenye degree, mwisho kabisa ni diploma, kaz yake ni kusimamia blg yetu ya nijuzetz tu, pia kutunza files na mara chache sana kuonana na wateja, kwenda kufile cheki bank na wkt mwingine kusaka tangazo mara chache sana,si kaz ya mshahara mkubwa kiviiile kiasi kwamba magraduate mkimbilia
Ni kazi inayowafaa watu waliosomea/ mwenye utundu na computer maana mshahara ni mdogo sANA CHINI YA LAKI 2
Wadada itawafaa sana nafasi hii.......magraduate msiapply hatuna mshahara wa kumlipa graduate
Naomba sana nieleweke hapa
Hivyo bado tunapokea maombi hadi ijumaa trh 15 august 2014
Mollel
Rockland co Ltd

On Tuesday, August 5, 2014 3:43 PM, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Nafasi ya kazi hii hapa waungwana, tunahitaji kijkana wa kaz za ofisi anaejua vzr computer na kidogo masuala ya marketing.....mwenye mtu anaemfaham amlete, ampe no zangu...0652 314181
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments