[wanabidii] PICHA ZINATISHA : KIJANA AKATA KICHWA CHA MTOTO NA KULA UBONGO

Friday, July 18, 2014
SAMAHANI KWA PICHA. 

Kijana mmoja anaekadiriwa kuwa na umri wa maiaka 20-25 alikua (houseboy) amemkata kichwa mtoto wa shule wa boss wake kisha kupasua kichwa na kuanza kula ubongo. Muda kidogo akakutwa ameukata umme wake nao anaula kwa mujibu wa chanzo kulilichonitumia hii taarifa ni kwamba imetokea huko Marangu Moshi leo mida ya saa 3. Polisi inchunguza bado nini hasa kilipelekea huyo kijana kufikia uamuzi huo. Mungu ailaze roho ya mtoto mahala pema peponi

 

 


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments