Mbunge Moses Machali amempiga vibaya baba yake Mzazi Mzee Joseph Machali.Machali ambaye ni mbunge Wa NCCR MAGEUZI na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho na Katibu wa fedha wa Umoja wa UKAWA alimpiga vibaya baba yake Mzazi ambaye huwa anaishi nyumbani kwa Mbunge huyo. Machali alimfukuza baba yake Mzazi na kutupa vitu vyake nje ya nyumba na Mzee huyo kukimbilia na kuhifadhiwa kwa muda nyumbani kwa mjumbe wa kitongoji anachoishi mbunge huyo.Baadae Baba yake na Mbunge Moses Machali alikwenda polisi na kufungua kesi ya kushambuliwa na mwanae. Na Jeshi la Polisi limedhibitisha kufungua kesi hiyo na Baba yake na Machali jana alitinga mahakamani. Mbunge Moses Machali amekuwa na vitendo vya utovu wa Nidhamu hata anapokuwa ndani ya Bunge. Na kitendo hicho kimewaudhi wapiga kura wake wa jimbo la Kasulu Mjini ambao wamekuwa hawana imani na Mbunge. Ni Moses Machali aliyekuwa mstari wa mbele kumfukuza uanachama Mbunge mwenzake David Kafulila. Hii ni aibu kwa NCCR MAGEUZI na UKAWA. Kwani Moses Machali ni waziri kivuli wa Uchukuzi aliyeteuliwa na Mh. Mbowe.
Watanzania tunapata picha gani kwa Viongozi wa namna hii wa NCCR-MAGEUZI na UKAWA.
-- Watanzania tunapata picha gani kwa Viongozi wa namna hii wa NCCR-MAGEUZI na UKAWA.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments