[wanabidii] Kafulila kupandishwa kortini na IPTL itakayomdai bilioni 310/=

Monday, July 14, 2014
Gazeti la Uhuru limechapisha habari kuwa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL), inayotuhumiwa kuchota fedha katika akaunti ya Escrow, imeamua kumfikisha mahakamani Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) na kumfungulia kesi ya madai ya sh. bilioni 310.

Gazeti hili linasema kuwa IPTL kwa kushirikiana na Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited na Mtendaji Mkuu wa kampuni hizo, Harbinder Sign Seth, wamemburuta Kafulila katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam kutokana na kashfa anazodaiwa kuzitoa juu ya kuchotwa fedha katika akaunti ya Escow isivyo halali.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments