[wanabidii] TAARIFA YA MHE LOWASSA KUWAKANA MELOWAMI

Tuesday, June 24, 2014

TAARIFA YA KUKANUSHA

Kumeendelea kujitokeza vikundi mbalimbali vinavyojinasibisha na Mh Edward Lowassa, miongoni mwao ni kile kinachojiita Muungano wa Marafiki wa Mh Edward Lowassa Wasio na Mipaka(MELOWAMI).

Muungano huu umetoa taarifa katika mitandao ya kijamii ukiishutumu kamati ya maadili ya CCM kuwa inamfanyia hujuma Mh Lowassa.

Kwa mara nyingine tena ofisi ya Mh Lowassa inakanusha kuhusika kwa namna yoyote ile na taarifa za kikundi hicho na vingine vitakavyotoa.

Taarifa rasmi za kwa kwangu na jimbo langu zitatolewa kupitia ofisi
yangu,tovuti yangu, na kurasa zangu za mitandao za kijamii.

Imetolewa na ofisi na Mh lowassa(mbunge)

kwa maeleza na taarifa zaidi, sahihi kutoka ofisi ya Mh E. Lowassa Ngoyai Edward tembelea:http://elowassa.com/political_events.php

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments