Rais wa chuo kikuu cha CUHAS (Bugando) na Mwenyekiti wa Shirikisho la wanafunzi vyuo vikuu nchini (TAHLISO), Bw.Mussa Leonard Mdede ameokotwa usiku huu akiwa amepoteza fahamu (hajitambui) na amekimbizwa katika hospitali ya rufaa Bugando kwaajili ya vipimo na kupatiwa matibabu.
Bw.Mdede alitoweka ghafla diku ya jumatano tar.18 mwezi huu, saa kumi jioni,na haikuweza kufahamika mara moja yupo wapi, mpaka usiku huu taarifa za kupatikana kwake zilipotolewa.
Taarifa hizi zimedhibitishwa na Waziri Mkuu wa serikali
ya wanafunzi chuoni hapo, Bw.Benjamin Thomas. Taarifa zaidi juu ya hali ya Bw.Mdede zitazidi kutolewa kwa kadri zinavyopatikana.
Institut d'études de sécurité - SA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments