[wanabidii] mwenye data za vurugu za uchaguzi

Sunday, June 22, 2014
habari wanabidi
ni matumaini yangu kua mtakua salama huko mliko na kazi kubwa ya kuijenga tanzania yetu kua mahari pazuri pakufaa sisi na kizazi kijacho.
dhumuni la kuandika hapa ninaomba msaada wenu kwa haya machache ntakayoyaeleza ili kunisaidia katika utafiti wangu.
naomba mnisaidi majibu ya maswali haya ntakayouliza hapa.


1. Ni maeneo yapi ya tanzania ambayo ni vinara kwa vurugu za uchaguzi?

2. Kwa kuamini kua vijana ndio waadhirika wakubwa wa vurugu za uchaguzi. inaweza kukisiwa ni vijana wangapi wamepoteza maisha katika vurugu hizi?

3. Nini kinaweza kua suluhisho la tatizo hili?

4. Je unadhan makundi ya ulinzi ya vyama vya siasa yanachangia katika tatizo hili?

ntashukuru zaidi kwa majibu yanayoambatana na takwimu/data (authority)

NINAOMBA MAJIBU KWA YEYOTE HII NI KATIKA UTAFITI WANGU NIMEONA HAPA PIA NI MAHARI PAZURI KWA WATU WELEDI NA WENYE MAPENZI MEMA NA NCHI YETU TANZANIA.

TOFAUTI NA HAPA UNAWEZA NITUMIA MAJIBU MOJA KWA MOJA KATIKA  BARUA PEPE YNGU  mrmaduhu@gmail.com

ASANTE.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments