Rasimu ya Katiba // Ibara ya 43(1) (b)
ULINZI DHIDI YA UKATILI KWA WATOTO.
Kila mtoto ana haki ya kutoa mawazo, kisikilizwa na kulindwa dhidi ya Uonevu, UKATILI na udhalilishaji.
_____Mtoto NASRA amefariki dunia jana kwa maradhi ya 'nemonia' baada ya maisha ya kadri miaka 3 akiwa NDANI YA BOKSI ikidaiwa kuwa alipofichwa na mama yake mkubwa!!!
_____Je, Rasimu imetoa ulinzi wa kutosha kwa watoto wa Tanzania?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments