[Mabadiliko] Judy Miringa afungiwe

Sunday, June 15, 2014
Modes, who invited Miringa to this noble forum? This forum belongs not to the stooges with inborn hate characters.

Matusi anayomporomoshea Raila Odinga asiye na fursa ya kujitetea hapa, sisi Watanzania waungwana na kwa ustaarabu wetu hatukuyazoea na hayavumiliki.

Naomba kutoa hoja kuwa huyu "Judy Miringa" maana sina uhakika kama ni jina lake halisi kwani kwa mtu anayejiheshimu hawezi kuruhusu jina lake litumike kwa ukabila kiasi hiki, SASA AFUNGIWE.

Akiishajua ustaarabu wetu katika jukwaa hili na akaukubali, arejeshwe.

Manamwogopa nini? Mbona Ludovick alifungiwa? Fanya hima. Asante.

Balile
Sent from my BlackBerry(R) smartphone on the Tigo Tanzania Network

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com


For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/834098418-1402841379-cardhu_decombobulator_blackberry.rim.net-1612120441-%40b11.c2.bise7.blackberry.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments