[wanabidii] TPDF AT 50 - MIAKA 50 YA JWTZ

Sunday, May 18, 2014

TPDF AT 50 – MIAKA 50 YA JWTZ


Ndugu zangu ,


Septembea 1 Mwaka juu , Jeshi la Wananchi wa Tanzania linatarajia kutimiza miaka 50 toka kuundwa kwake .


Jeshi litaonyesha mambo mbalimbali toka kuanzishwa kwake katika kipindi hicho .


Sisi kama wananchi tunamambo ya kujua na kupenda kujifunza zaidi haswa yale ambayo yana maslahi makubwa .


Karibuni katika mjadala huu wa kukumbushana mambo mbalimbali .


--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments