Nashindwa kuelewa wkt mwingine ni makusudii au ndio mafundisho ya masomo ya udaktari
Daktari akikuandikia, cheti anakoroga lugha kiasi kwamba huwez kuelewa alichokiandika ila ukimpa nesi ataisoma, nasema hivyo leo mama yoyo ametoka dispensary ya Kimara kumpeleka mwanangu kupima kuona ana tatizo gani la afya, akaonekana ana malaria na minyoo, lakini sasa maandishi ya dawa alizoziandika mama akashinwa kuyasoma ili anitumie ninunue, namie kufika nyumba nikajaribu kusoma sikuambulia dafu
Je ni moja ya sylubus kua daktari awe na mwandiko usiosomeka kirahisi, au wanaamua au ni ethics tu
Kwanini wasiandike kwa lugha nyepesi kila mtu aweze kuelewaaaa
wataalam tusaidieni hili
nawasilisha
0 Comments