[wanabidii] WENYEVITI WA CHADEMA MONDULI NA NGORONGORO WAJIVUA UONGOZI NA UANACHAMA

Monday, April 07, 2014
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli Mh. Amani Ole Silanga na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Ngorongoro wamejivua uongozi na uanachama wa chama hicho kwa madai ya chama hicho kukosa sifa ya kuwa chama cha siasa! Wakizungumza na Radio Five viongozi hao walioambatana na Makatibu wa kata sita na mkoani Arusha pamoja na wanachama, makamanda hao wamesema wamechoka kutumiwa Mbowe na Matapeli wenzake wa kisiasa ambao hawaheshimu hata katiba waliyoitunga wenyewe! ITAFAHAMIKA TU.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments