Chagua jibu sahihi.
' Umaskini wetu ni upi?
(a) kusababishwa na ukoloni
(b) sera mbovu ya serikali kuhusu uchumi.
(c) uvivu wa watz katika kazi.
(d) majibu yote ni sawa.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
1 Comments
Ili tuendelee tunahitaji:
REPLY1. Watu (tupo milioni 42)
2. Ardhi ( ipo mamilioni ya ekari za misitu, mbuga zilizihifadhiwa, mabonde yenye mito na maziwa lukuki
3. Siasa safi (hakuna! Badala ya kujenga nchi tunapambana kugombea uongozi
4. Uongozi bora (hakuna! Kila kiongozi ni mpiga dili, mf. Kikwete, Rostam na Lowasa kuitapeli nchi kwa kutumia kampuni ya kitapeli ya Richmond)
NB: Waafrika (watz) sio wavivu ndio maana walichukuliwa na wazungu/waarabu utumwani kwenye kazi za nguvu mf. ujenga reli/barabara, kulima na kuvuna mashamba makubwa ya pamba, miwa, katani, mahindi, kahawa)