[wanabidii] Kongamano la Wazi Bwawani kuhusu Mamlaka Kamili za Zanzibar

Sunday, April 06, 2014
Kamati ya Maridhiano Zanzibar inayowaunganisha wazanzibari wote bila ya kujali tofauti zao wanafanya kongamano la wazi asubuhi hii ya Jumapili tarehe 06/04/2014 katika ukumbi wa Salama wa hoteli ya Bwawani Zanzibar.

 Wageni waalikwa katika kongamano hilo ni Makamishna wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na na waandaaji ni wajumbe wa Kamati ya maridhiano, wote watakuwepo. 

Agend...a kuu katika mkutano ni jee safari ya kuelekea mamlaka kamili imefikia wapi? 

Jee CCM kuliteka Bunge la Katiba kutasitisha safari hii ya wazanzibari ya kudai nchi yao?

 Nini wazanzibari watarajie na nini kifanyike?

 Maswali yote hayo pamoja na mambo kadhaa muhimu yatapatiwa ufafanuzi katika kongamano hilo la wazi mnakaribishwa wote.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments