[wanabidii] poshooooooooooo uwiiiiiiiiii zimekwisha

Wednesday, April 16, 2014
majambazi wameamua kuondoka bungeni baada ya kulamba posho zote za ndani ya siku isitini wakiimba taarabu na kuzomea.

inamaana hoja iliyowatoa bungeni hawakuiona mapema tangu walipochaguliwa, hawakujua ccm ni wengi kwanini wamesubiri posho ziishe kwanza?

yaani kweli hii nchi ni ya wajinga, mwanataaluma nguli wa uongo anasimama bunge anaeneza uongo hadharani anapigiwa makofi anamaliza wanasaini posho wanaondoka kuwahi flame za biashara.

pumbaaffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffff kabissaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments