[wanabidii] Ikulu ni Mahali Patakatifu!

Monday, April 07, 2014
Ndugu zangu, Baba wa Taifa alituambia kuwa Ikulu ni mahali patakatifu. Ni mategemeo yetu kuwa kauli zitokazo Ikulu zitakuwa zenye hekima na busara.

Tofauti na mategemeo yetu kauli zitokazo Ikulu kwa sasa zimejaa kejeli na mipasho. Mzee Warioba ni shahidi yetu. Je ndugu zangu ni nini kimesababisha hali hii? 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments