Jamani wandugu mie nashangaa sana, hivi mzee Abdu Jumbe si yupo, si watu wakamuulize kwanini yupo pale kigambo, tena nashangaa eti still ana detention ya nyumbani, nani kamfunga mzee wa watu.......hawa ni muhimu sana kwa zanzibar, suala la serikali 3 au 2 si aulizwe mzee Jumbe.
Mimi nashaur huku ya mzee jumbe iiishe, na kwa kua yeye kuhoji kwake muungano kipindi kile ilikua ni kosa lakin i kwa sasa si kosa tena, sasa mzee anapewa adhabu ya nini, mbn watu weengi wanatoa maneno ambayo yanahatarisha muungano wasikamatwe kwa namna hiyo mzee hana hatia tena maana alichokisema kwa sasa si ishu tena kwa kua katiba mpya haimzuii, nae aaachiwe na atoe mawazo yake kwa kua ndio watu walikuwepo ktk uongozi kipindi kile hayati mwl Nyerere akiwa uongozoni, naomba mzee asikilizwe mawazo yake nae. hata hati ya muungano anaifahamu sana karume
0 Comments