Wandugu,
Nimepokea taarifa muda punde kuwa yule mwandishi aliyedaiwa kurekodi na au kusambaza taarifa za Waziri Lukuwi kuongea mambo ya vitisho msikitini juu ya serikali 3 na jeshi kuchukua nchi yuko matatani muda huuu. Inasadikiwa wanausalama wamempa kibano cha nafasi wakimhoji juu ya nia na namna alivyotekeleza jambo hilo na kuwa usalama wake upo shakani.
Pamoja na kuwa hakuna uhakika kama ni yeye aliyesambaza nakala za rekodi ile lakini yaonesha wajeda hao wamemmulika na kumkwida ili awape nyeti zake.
Taarifa za tukio hili zilisambazwa awali na magazeti ya Mwananchi na TanzaniaDaima.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments