1.Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
2.Nitatumikia nchi yangu na watu wake wote.
3.Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umasikini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
4.Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
5.Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
6.Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote.
7.Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
8.Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
9.Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments