Fw: [wanabidii] SABABU TANO ZA EDWARD LOWASSA KUWA RAISI 2015

Sunday, April 06, 2014
On Sunday, 6 April 2014, 2:19, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Hivi ufisadi si tatizo tena Tanzania?
Ufisadi haujarudisha nyuma maendeleo yetu? Ufisadi uneisha?
em
MAHAKAMA HUWEZA KUHUKUMU TU PALE AMBAPO MSHITAKI NA MSHITAKIWA WATAKUWA WAMETOA MAELEZO YAO NA IKAWA PROVED BEYOND REASONABLE DOUBT, HIVYO TUHUMA DHIDI YA LOWASSA NI ZA KIMANGUMASHI NDIYO MAANA HAKUNA ALIYEJITOKEZA KUMPELEKA MAHAKAMANI,  LOWASSA JEMBE LETU............... 2015 NJIA NYEUPE
Sent from my iPhone

On Apr 5, 2014, at 7:00 PM, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:

umemaliza ndg mwandishi
wasimtaka huyu mh ni wale wasiotaka brn na ukweli ni kwa bila brn nchi hii itaishia kwa wajanja wajanja wachacheeeeee.
Mengi umesema baba, mwenye hoja mbadala ajitokeze na tuko standby kumjibu kwa hoja, usije na jazba lete hoja na data kama hizo hapo juu ambazo kimsingi mimi naziunga mkono tu
Slaaa ah kaisha , kabakia kuimba wimbo ule ule wa zilipendwa mafisadi mafisadi....master plan yake iko wapiiiiiiiiii kama ya lowasa
zije hoja sasa


On Saturday, April 5, 2014 12:26 PM, MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:
SABABU TANO ZA EDWARD LOWASSA
KUWA RAISI 2015, HIZI NDIZO SIFA ZA LOWASSA BILA SHAKA KWENYE KWELI UWONGO HUJITENGA.!!
Sababu nzito Tano ambazo mimi binafsi naziona zinafaa sana kumtathmini Edward Lowasa kama Rais ambae Tanzania inamuhitaji kwa muongo mwingine ujao. Nikiri wazi kwamba kwa CCM ni Lowasa pekee mwenye sifa hizo labda nitamlinganisha na Dr. Slaa ambae kwa muono wangu kidogo anamkaribia Lowassa nikimaanisha kidoogo
wanalandana na nitasema wapi Lowassa anampiku Slaa.
Kwa utangulizi tu ni kuwa Nchi hii ili iendelee inahitaji KIONGOZI kwa ufupi kabisa niseme hivyo inahitaki KIONGOZI SHUPAVU tena SHUPAVU KWELIKWELI sio masihara. Waziri mkuu Mizengo Pinda na Mbunge wa Monduli Erdward Lowassa. Tupo kwenye umaskini mkubwa,watu wanateseka bila sababu ya msingi. Vijana tunashabikia tuu kama wehu, wengine ni wasomi lakini tunapelekwa
kama upepo tukisikia hiki "hewala" tukisikia kile "sawa" tukiambiwa hivi "alhamdulilah" tukiambiwa kile "poa tu". Hatutaki kuchambua na kuielewa siasa kwamba kwenye siasa kuna majungu,fitna,kuchongeana,uchu wa madaraka na mali na mambo meeeengi ambapo msipokua makini mnaweza KUMCHUKIA MZURI MKAMPENDA MBAYA. kwa misingi hii ninaanza uchambuzi wangu. Na uchambuzi huu nitauandika kwa facts and figures kama anavyosemaga Prof.Muhongo.
1.LOWASSA NA "BIG RESULTS NOW". Nianze na hili.Tunajua wote kuwa serikali yetu sasa ipo kwenye mpango wa matokeo makubwa sasa BRN.Mpango huu mbali na mambo mengine unahitaji kiranja mkuu (RAIS) ambae ni SHUPAVU,JASIRI, MTHUBUTU,MWENYE KUWEKA MALENGO NA KUSIMAMIA KUONA YANATEKELEZEKA lakini pia kama jina la mpango lenyewe lilivyo "MATOKEO MAKUBWA SASA" yaan we want things to happen now. Kwa minajili hiyo ni kiongozi gani mnaeona anaeweza kuleta matokeo makubwa sasa? Embu tuwe wakweli LOWASSA tunamjua alipoingia kuwa waziri mkuu alitangaza kuwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ambacho angekuwa WAZIRI MKUU angetaka kata zote ziwe na shule za sekondari. Sote ni mashahidi alivyosimamia sera hiyo shule zilianza kumea kama uyoga yaani kama mazingaombwe.
Hata maeneo kama ya Kinondoni ambapo ardhi huuzwa kiholela hivyo ardhi kutopatikana lakini ilipatikana kuanzia vijijini hata miji wananchi walianza kujenga shule.ni mashahidi kama sio fitna za yeye kupelekea kujiuzulu sijui leo kielimu tungekuwa wapi. HE HAD A MASTER PLAN OF OUR
EDUCATION SYSTEM AND HE LEFT WITH IT BUT STILL HE HAS IT IN HIS HEAD. Naamini huyu mzee akipata nafasi tutafika. Si hilo tu tunajua mambo mengi aliyokuwa nayo kichwani ambayo mengi yapo kwenye huu mpango ni shupavu ambae angeweza na anaweza kuyasimamia yatekelezeke. Dr.Slaa ni mzuri wa kusimamia mambo lakini sometimes huwa analoose focus nitaliongelea kwenye point ya tatu.
2.LOWASSA ANAJUA KUWEKA VIPAUMBELE NA KUJUA TUNAVIFIKIAJE. Jamani Nchi hii ili iendelee na ndivyo hata nchi zilizoendelea zilivyoanza ni kuwekeza katika elimu ya watu wake, Kilimo na Viwanda nikimaanisha sekta ya uzalishaji. Tunajua jinsi LOWASSA
alivyo anza na hayo shule za kata
nilishazizungumzia na mipango mingi
ya elimu ukitaka kuijua waulize walimu
alipoanzisha program ya kuwajengea
nyumba,alivyoanzisha program ya kuhakikisha watoto hawakai chini kila
mtoto akae kwenye dawati,alivyoshusha
ada n.k Tusisahau kwenye kilimo
aliyoanzissha kilimo cha umwagiliaji
mpaka akataka kuleta Mvua ya
kutengenezawa mimi huwa nasema hata kama isingewezekana lakini
inaonyesha ile nia njema aliyonayo
mzee huyu.
Ukitaka kuelewa vizuri waulize wakulima
wakuhadithie jinsi alivyokua
anawatimua kazi na kuwashtaki watu waliokua wanakula hela za mbolea za
ruzuku. Jinsi alivyokua anatafuta
masoko ya nje ya mazao ya kilimo
waulize wafanyabiashara wakuhadithie.
Ni kiongozi nani mwenye hulka na
kariba hii ndani ya CCM? Tunajua wote kuwa mapinduzi ya kilimo na viwanda
ndiyo yaliendeleza bara la ulaya historia
inatuambia hivyo na elimu ndiyo
imeikomboa JAPAN na nchi nyingine
LOWASSA ni jembe katika hili ana
master plan ya mambo haya na anajua kusimamia haya sio siri wala kumpigia
debe HE IS REAL.
3.LOWASSA SIO MTU WA KUPOTEZA
UELEKEO (TO LOOSE FOCUS)
Lowassa siku zote akitaka kitu ni mpaka
kitimie na kikishindikana basi ujue
kumpata wa kukiweza ni shughuli pevu
na akitaka kitu hakati tamaa ili mradi kiwe ni chema hata kama hakina
maslahi kwake na ikitokea yeyote
akasimama mbele yake kumzuia basi
ama zake ama za huyo mtu. wazungu
wanasema "You are either with me or
against me". Tunakumbuka jinzi alivyokua akitimua
viongozi waliokuwa wakitaka
kumkwamisha kwenye utekelezaji wa
shughuli za maendeleo. Hakujali urafiki
wala nini anakuweka ukimzingua
anakumwaga THAT IS THE TYPE OF THE PRESIDENT WE WANT kwa sifa hii hana
tofauti na Dr. Slaa japo Slaa huwa
wakati mwingine anapoteza uelekeo.
Mfano mzuri wa kutopoteza uelekeo ni
kwamba mwaka 1995 alitaka kuwa Rais
wakatoswa,2005 akakubali swahiba wake achukue lakini akabaki kuwa
focused, fitna zikajengwa akajiuzulu
2007 lakini hata sasa bado hajaloose
focus japo anaface a lot of challenges.
Sio mfano mzuri sana huo kutoa lakini
inaonyesha ni mtu wa namna gani kuwa siku akitaka vijana tukimaliza
vyuo tupate kazi maana yake
atalisimamia hilo by hooks or crooks
kama ni viwanda kufufuliwa vitafufuliwa
idimradi tu vijana tulambe ajira THAT IS
THE PRESIDENT WE WANT. A FOCUSED MAN
4.LOWASSA NI HALF
DICTATOR HALF DIPLOMATIC
Hahahahaha nianze kwa kucheka
maana tunajua hakuna nchi
iliyoendelea kwa kiongozi kuwa full
diplomatic yaani kitu kidogo "Tume iundwe" jambo dogo "NJOO MEZANI
TUONGEE" kitu kidogo "TUSUBIRI
UCHUNGUZI" jambo kidogo "DUNIA
ITATUELEWAJE". jamani tunamjua
LOwassa ni mtu wa action kwa kwenda
mbele Ghorofa limeanguka nani mkandarasi piga chini. Halmashauri
imekula hela za maendeleo nani
mkurugenzi piga chini.
Wizara inatokota nani muhusika piga
chini. Tunatatizo fulani solution ni nn
tekeleza.yaani hakuna longolongo.Hii ndio type ya uongozi itakayotukomboa
Tanzania.
Na ukitaka kujua faida yake waulize
wachina yaani watakwambia vizuri
udictator kidogo unavyoharakisha
maendeleo yao. Hakuna TANZANIA hii viongozi wa type hii mbali na LOWASSA
na Dr. SLAA tatizo SLAA ....(nitamuonge
lea wakati mwingine)
5.LOWASSA ANASIKILIZIKA,A
NAFUATILIA,SI KIGEUGEU NA SI MVIVU.
Hii ni sifa kubwa kwa mtu kuwa RAIS
unapoona unataka kuwa Rais au
unamchagua mtu ambae kwa haiba
yake tu hasikiliziki ujue unaturudisha nyuma.
Rais anatakiwa awe akisema hili
lifanyike huyo anaeambiwa linamuingia
moyoni. Nirudie Rais anatakiwa
anapoongea hata kwa simu tu ile pitch
ya sauti iashirie kuwa jambo hili ni lazima lifanyike.Yaani kama anaongea
mbele yako ukimwangalia kuanzia
nywele mpaka unyayo uashirie kuwa
kiongozi anataka hili lifanyike. LOWASSA yupo hivyo akisema jambo
linatekelezwa na haiishi hapo anafatilia
mwanzo mwisho si mvivu hata
kidogo.kutwa anaizunguka Tanzania hii
vijijini hadi mijini nyote ni mashahidi wa
hili.
SIMAMA SASA NA UHESABIWE kuelekea safari ya
matumaini na mafanikio 2015.!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


Share this :

Related Posts

0 Comments