Na Happiness Katabazi
MAHAKAMA Kuu Dar es Salaam, imelikataa ombi la Sheikh Issa Ponda liloomba Mahakama hiyo Ifanyie mapitio amri ya awali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro Oktoba MOSI Mwaka Jana AMBAPO ilitupilia Mbali ombi la Ponda lililokuwa linadai Mahakama a morogoro haina mamlaka ya kusikiliza kosa la kwanza linalomkabili Ponda ambao ni la Kutenda kosa wakati yupo Katika kifungo cha nje cha Miezi 12 iliyotolewa MEI 9 Mwaka Jana ambayo ilimtaka Ponda awe mtunza Amani na awe mtulivu.
Uamuzi huo umetolewa HIvi PUNDE na JAJI Agustine Mwarija ambaye Alisema anakunaliana na Wakili kiongozi wa serikali Bernad Kongora Kuwa ombi Hilo la Ponda limekiuka Kifungu cha 372(2) cha Sheia ya Makosa ya Jinai ya Mwaka 2002.ambapo Kifungu hicho kina katana upande mmoja kukata RUFAA mahakama ya juu amri za MUDa au za awali ambazo hazikawii Kesi husika.
Hivyo Jaji Mwarija ametupilia Mbali ombi Hilo la Ponda lilikuwa Linaomba MahakaMa yake Ifanyie Marejeo amri ya awali ya Mahakama ya morogoro. KWA mAana hiyo Ponda anatakiwa aendelee na Kesi yake ya Msingi iliyopita Mahakama ya morogoro.
-- MAHAKAMA Kuu Dar es Salaam, imelikataa ombi la Sheikh Issa Ponda liloomba Mahakama hiyo Ifanyie mapitio amri ya awali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro Oktoba MOSI Mwaka Jana AMBAPO ilitupilia Mbali ombi la Ponda lililokuwa linadai Mahakama a morogoro haina mamlaka ya kusikiliza kosa la kwanza linalomkabili Ponda ambao ni la Kutenda kosa wakati yupo Katika kifungo cha nje cha Miezi 12 iliyotolewa MEI 9 Mwaka Jana ambayo ilimtaka Ponda awe mtunza Amani na awe mtulivu.
Uamuzi huo umetolewa HIvi PUNDE na JAJI Agustine Mwarija ambaye Alisema anakunaliana na Wakili kiongozi wa serikali Bernad Kongora Kuwa ombi Hilo la Ponda limekiuka Kifungu cha 372(2) cha Sheia ya Makosa ya Jinai ya Mwaka 2002.ambapo Kifungu hicho kina katana upande mmoja kukata RUFAA mahakama ya juu amri za MUDa au za awali ambazo hazikawii Kesi husika.
Hivyo Jaji Mwarija ametupilia Mbali ombi Hilo la Ponda lilikuwa Linaomba MahakaMa yake Ifanyie Marejeo amri ya awali ya Mahakama ya morogoro. KWA mAana hiyo Ponda anatakiwa aendelee na Kesi yake ya Msingi iliyopita Mahakama ya morogoro.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments