[wanabidii] KAMPENI ZA CCM KATIKA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA

Monday, March 03, 2014
Kijiji cha Mwambao Vijana wakishangilia na Kumpokea Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kalenga wa CCM, Godfrey William Mgimwa. Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wanakijiji wa Kibebe hii leo wakati wa kumnadi Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Godfrey William Mgimwa.Hii leo Mwigulu Nchemba ameendesha mikutano minne kwenye Vijiji Vinne tofauti (Mwambao, Kibebe, Lupalama na Mangali).Katika Vijiji Vyote Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana na hakika Wameahidi kuiunga mkono CCM hasa kutokana na maendeleo waliyoyapata tangu awali kwa Mbunge aliyefariki.Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wanakijiji wa Kijiji Cha Mwambao hii leoMh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mangali hii leo kata ya kalenga

Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na wanakijiji wa Kibebe Jimboni kalenga hii leo. 
Kada Mtiifu Mtela Mwampamba akizungumza na Wananchi wa Kata ya Kibebe wakati wa kumnadi Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Godfrey William Mgimwa hii leo. 
Mapokezi mazito Kata ya Kibebe kwa Godfrey Mgimwa mgombea Ubunge 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments