[wanabidii] FW: Dr. Alawy is No Citizen of Kenya Says the Parliament

Wednesday, March 05, 2014
As Received 

Haya jamani juzi alikuwa ni Prof. Abdulrazak leo ni Abdillahi Alawy 
na for your information wote ni Coastal People . Huyu sasa twaambiwa 
si Mkenya wa Kenya ni wao hao waliyoko kwa Parliament . Amesoma wapi 
huyu ndugu yetu na amezaliwa wapi basi watwambiye na watupe ushahidi
kamili . Kisha tuna atti viongozi Coast kazi zao ni nini kama walivo shonwa
midomo jamani . 

Sasa tufanye nini wa Kenyan ndugu zangu twambiyeni tunyamazeni na
nihaki haya yanayo pitika tena special kwa Muslims and Coastal People 
maana hakuna aina ingine ya kutafsiri haya mambo yanavo kwenda . Jee
na hao wanao piganiya haki watafanya nini kuhusu jambo hili tunyamaze 
tupeni muelekeo ndugu zangu . 

Hussein A Abbas
Mombasa , Kenya 
 


Date: Tue, 4 Mar 2014 20:15:37 -0800
From: baalawy75@yahoo.com
Subject: Fw: Dr. Alawy is No Citizen of Kenya Says the Parliament
To: alhussein656@msn.com

Sent from Yahoo Mail on Android



From: Abdillahi Alawy <aalawy@gmail.com>;
To: Dr. Abdillahi Alawy <aalawy@gmail.com>;
Bcc: <baalawy75@yahoo.com>;
Subject: Dr. Alawy is No Citizen of Kenya Says the Parliament
Sent: Tue, Mar 4, 2014 7:19:09 PM

Assalam Alaikum,

Here we go guys! I know you all thought I was Kenyan, me too. Now this! click


Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments