Nimeamua kuweka wazi msimamo wangu,sababu za msingi zilizo nifanya niamue kujitoa CHADEMA na kujiunga CUF.chama cha wananchi.kinacho endelea ktk chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA tokea litokee sakata la ZITO KABWE na hasa alipo fungua kesi kupinga kamati kuu isijadili uana chama wake. wanachama hasa waislam, tumekuwa tukitiliwa mashaka kuwa tunamuunga mkono zito, kwa dhana kuwa ni mwislamu mwezetu.hivyo ukapangwa mpango wa kunitafuta, nikaambiwa natakiwa makao makuu nirudishe pikipiki na nilipofika mratibu wa kanda ya pwani akaniambia anataka kuifanyia matengenezo madogo piki piki.hivyo nimkabidhi funguo,na akasema yeye mratibu ameagizwa na katbu mkuu dk.slaa kuzichukua pikipiki na kuzifanyia matengenezo.kisha mratibu akampigia lwakatare na kumwambia MAKWILO nipo nae na amesha kabidhi tayari pikipiki.muda mchache tuu nikakamatwa na maafisa ya ulinzi wa chama wa taifa na kupelekwa kwa LWAKATALE.kufika ndio wakani pekua simu zangu kisha akasema hajaona mawasiliano yangu kati yangu na ZITO
-- Wenu Katika Ujenzi wa Taifa
ALLY MAKWILO
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments