[wanabidii] karibu sana sinza mori

Sunday, February 16, 2014
hi wakuuu , napenda niwakaribishe ofisi zetu mpya pale sinza mori kwa ajili ya kupata huduma zetu .....ofisi inaitwa Rockland real Estate and property management.......kule huduma zote muhimu zinapatikana, tumbo mbioni kuzindua blogg naa website itakayojaza huduma zetu ambazo ni fursa hadimu sana.....hii itasaidia sana unaposave kidogo basi uinvest, na si uwekeze tu tumboni, uwekeze kwa ajili ya kesho na wengine waje kuishi vzr.
Huduma zetu ni zile zile za properties, plots, msaada wa tathmini, kuwekewewa hati, kuuziwa yard/godown nk
Leo karibuni basi niwape hot deals nilizofanikiwa kukusanya kwa week 2, ni fursa ni fursa tupu wakuu, ukishindwa mimi nimenawa mikono kama piloti kwa yesu, properties zingine ni sawa na kupewa bure; haya ona
1: Tunazo nyumba kali sana za kuuuza kwa bei nafuu sawa na bure ; Bunju semi finished nyumba kubwa tu mil 25, bunju semi finished mil 40 inA ENEO L kutosha, bunju finished kadogo mil 17, bunju mil; 50 na kuendela zipo na atakaetaka aseme arushiwe kwa whatsaap au email anytime  au aje ofsn ataziona ktk picha
2: Nyumba kubwa sana room 11 na eneo la sqm 1700 ipo maili moja mjini nyuma ya bar ile kuuubwa pale inafaa kujengwa ukumbi wa harusi nanyumba kuibadili na kua guest house, ina HATI MIAKA 33, picha zipo na kuona bureeeee kabisaaa......njoo ofsn utajhaza form na tutakuchaJI FEE YA KUKUTAFUTIA SEARCH FEE kiduuchu jamaniiii;
Nyumba ukonga, 5 room executive house bangaluu la ukweli executive house ina leseni ya makazi ina kiwanja cha sqm 1235, ukiitaka niambie nikurushie fasta
4: Nyumba zingine tabata(mil 70) tbt segerea mil 75, tbt mawezi kuubwa mil 130 , mikocheni ghorofa lina bwawa la kuogeea pia bei mil 900, upanga zipo, pugu kajiungeni mil 35- 65 zipo kibao
B: Plot- zipo za mil 3 na kuendelea mbezi luis, bunju mil 7 na kuendelea zinapatkana
C; mashamba yapo mkuranga mil 100 zenye hati eka kumi, kibAHA ZIPO ZA LAKI 5, msata zipo za laki 7 na kuendelea
UKIONA PROPERTY UNAYOHITAJI HAPA HAIPO UTOE ORDER THROUGH OUR SEARCH FORM UTAZILIPIA KDG UTATAFUTIWA HADI UPATE..... Rockland real estate and property management ina mtandao mpana wa kupata properties popote hapa nchini....tembelea ofsn kwa maelezo na kutoa order yako, au utupe oder hata kwa email tutakutumia,  ushauri ni bure
asanteni sana na karibuni sana
contact me for more
Lesian Mollel
Rockland real estate and Property management
coordinator
0652 314181

Share this :

Related Posts

0 Comments