Nafurahi kuwajulisha kuwa nitafikisha miaka 50 ya kuzaliwa ifikapo tarehe 2/3/2014. Naomba ujumuike nami kumshukuru Mungu kufikia umri huu ambao ni sawa na nusu karne.
Kwa heshima na taadhima unaomba mchango wako kuniwezesha kufanikisha sherehe fupi ya kujipongeza kwa mafankio hayo.
Karibuni uungane nami kwenye sherehe itakayofanyika GSS Hotel Kayanga kuanzia saa 10 jioni. Zawadi zenu zinapokelewa kwa mikono miwili.
Kwa mawasiliano, pongezi na Zawadi tumia +255 765 010235.
Jovin Bifabusha
DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 784 709200
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 784 709200
0 Comments