Samantha ambaye anasakwa Ulimwengu mzima alikuwa LAMU,alipofika
kwanza alienda hadi kwenye kituo cha Polisi na kuhadaa OCS wa Lamu Bw Omollo
kwamba anafanya na UN.Kama kawa Dada huyu alitoa kitu kidogo na hata
akapewa ulinzi na Polisi wa Kenya,urafiki ulinoga na hata akaomba kama anaweza kutembelea kambi ya kijeshi ya KDF kule Somalia.Walimpa ulinzi huku akipanga mipango yake jinsi ya kutekeleza mashambulizi.Tunataka Polisi wenye kufikiria haraka na wala sio Polisi wenye njaa na kufikiria pesa.Swali kwa Bw OSC tangu ajiunge na idara ya Polisi hajui kwamba wafanyikazi wa UN huwa wana magari zao maalum.Swali ni je aliwasiliana na makao makuu ya UN hapa Nairobi kama wana mgeni Mombasa?
Kama ni ugaidi Wakenya tutaisha,Kenya ni kama choo kila mtu anauwezo wa kuingia na kuishi bora awe na pesa.Hata ndiyo sabau wakina #KABUGA wanaishi raha mstarehe na kufanya biashara zao bila kujali hata baada ya Polisi ya kimataifa kutoa ilaani ya kumkamata hii baada ya kuhusika na mauaji ya kibare Rwanda.
Lazima tuwe na umri maalum ya kujiunga na kikosi cha Polisi.Ukiniuliza inafaa mtu ajiunge na idara ya Polisi anapofika umri wa miaka 28,mafunzo ya miaka miwili na anaaza kazi aliwa na miaka 30,huyu sasa ni mtu amekoma na atatilia maanani kazi yake.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments