[wanabidii] MZALENDO ZITO ZUBERI KABWE SASA ATISHIA MAISHA YA CHADEMA

Friday, January 31, 2014
Baada ya Mabepari kumaliza ziara yao ya kwenda kujikosha mbele ya wajumbe wa baraza kuu la uongozi kwa jinsi walivyoloa ufisadi na kukimaliza chama.,inaonekana ziara hizo hazijazaa matunda yoyote kwakuwa wajumbe wa baraza kuu wamekataa kushawishiwa na Mbowe na Slaa kwani wamebaini hawo ndio chanzi cha Migogoro ndani ya chama nakusababisha chama kuwa na Madeni makubwa.

Baada ya Mafisadi hawo kumaliza sasa ni Zamu ya MZALENDO mtu wa watu wote ambae ni mbunge machachari kuliko wote ndani ya chadema.,
Watanzania tunasubiri kwa hamu ziara hiyo ya Mzalendo huyo zito.,
Kwataarifa zikizopo nikuwa tayari wasiwasi umetanda ndani ya chadema haswa mbowe na slaa kwakuwa wanamjua zito kwa hoja zake Kali.,

(KILA KONA NI MZALENDO, MZALENDO, MZALENDO, ZITO, ZITO, ZITO)

Haya ni maneno ya mikoani ambapo wanamsubiri kijana WAO, mtoto WAO, mbunge wa wote,
(YETU MACHO TWASUBIRI)

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments