[wanabidii] BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

Sunday, January 19, 2014
Baraza la Mawaziri sasa hadharani: 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Hussein Mwinyi.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Taitus D Kaman..
Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Saada Mkuya Salimu
Waziri wa Afya Seif Selemani Rashidi

Malima Waziri Mdogo Fedha

Kebwe ni Waziri Mdogo Afya

Mhagama Waziri Mdogo elimu 

Pindi chana Waziri Mdogo Watoto Kinana Mama

Dr. Lengeya Kamani Waziri wa Mifugo 

Waziri Mdogo Telele Mifugo

Waziri Mdogo Ardhi Simbachawene 

Waziri Mdogo wa Maji Makala

Kilimo Waziri Mdogo Godfrey Zambi 

Habari Waziri Mdogo Juma Mkamia 

Mali Asilia Utalii Nyalandu + Mgimwa waziri mdogo

Waziri Mdogo Madini Kitwanga 

- Hakuna Mabadiliko Ofisi ya Rais
- Ofisi ya Makamu Wa Rais - Naibu Waziri Kitwanga amehamishwa na nafasi yake imejazwa na Mhe. Ali Mwalimu
- Mwigulu Nchemba amekuwa Naibu Wizara ya Fedha (Sera). Aliyekuwa nafasi hiyo sasa ni Waziri Kamili
- Uchumi na Mapato sasa anatoka Janet Mbene na inajazwa na Adam Malima
- Asharose Migiro sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria
- Ulinzi na Kujenga Taifa => Hussein Mwinyi
- Mambo ya Ndani - Mathias Chikawe
- Afya na Ustawi wa Jamii - Naibu wake sasa ni Waziri Kamili; naibu wa sasa ni Dr. Kebwe S. Kebwe
- Mulugo ameondoshwa rasmi serikalini. Nafasi yake imejazwa na Jenista Muhagama
- Pindi chana amejaza nafasi ya Ummi Mwalimu - Jinsia na watoto
- Mifugo na Maendeleo ya Mifugo - Titus Kamani atakuwa Waziri mpya. Naibu ni Telele na hivyo Wizara nzima imepata mawaziri wapya
- Ole Medeye OUT - Simbachawene kachukua nafasi yake (Naibu wa Prof. Tibaijuka)
- Naibu Kilimo - Zambi
- Habari - Naibu ni Juma Nkamia
- Nyalandu amekuwa Waziri Kamili. Naibu ni Mahmood Hassan Mgimwa
- Muhongo na Naibu wake wamebakizwa. Nishati atachukua Charles Kitwagwa akiichukua toka kwa Simbachawene

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments