wakuu poleni na mapambano, sasa hapa natoa nafasi ya kazi , wanahitajika wataalamu ya matangazo na marketing kwa ajili ya kufanya kazi katkA jarida jipya ya afya litakalokua likitwa ISHARA afya ni mali ambayo litazungumzia mambo mengi ya afya(profesional health) madaktari bin gwa, wataalam wa saikoloji, afya ya ngozi na urembo watajimwaga kutoa utaalamu wao kwa jamii .
nafasi tunazozitangaza ni 4, sifa awe na elimu kuanzia diploma hadi degree na uzoefu wa kufanya kazi za marketing na matangazo si chini ya mika 2 ktk magazeti, majarida, tv,redio , bank , makampuni ya matangazo nk
fika ofisini kwetu mbezi luis
kitu cha dala dala njia ya malamba mawili
au call me 0652 314181- Meneja wa mradi
0 Comments