[wanabidii] Fw: Ni rahisi ni yako, ukiwahi

Wednesday, November 06, 2013


On Wednesday, November 6, 2013 8:15 PM, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:
wakuu sana , nafasi nyingine niwachomee hapa ni hii hapa, fursa dar
Tunauza plot  maana ndio demand kubwa kwa sasa, tunayo pale goba nusu eka km 3 toka goba mjini bei m 22, 30 kwa 40 toka goba mita 500 tu tsh m 23, eka moja karibu na mh sumayi kule karibu na kibaha bei m 15,robo eka 35 kwa 35 ipo hapa suka kimara si mbali na bara bara kuu bei m 25 na maongezi ruksa...goba 22 kwa 25 (tsh m 7) 25 kwa 30 (tsh m 8) ila vipo km 4 toka goba kueleka tegeta a na vippo flat kabisa ....unaweza kuongea na mimi nikuombee ulipie kwa intsllment, tunajua natatizo jamani.


Kubwa sana na hii kama una hela wahi...mbezi luguruni nna nyumba imefikia lenta ikaachwa ipo ktk plot ya 20 kwa 20 na ipo eneo lilipimwa kwa makazi luguruni km 1 toka maini road...bei yake ni m 10 tu


Nyumba
Nyumba zipo kibai, za kuuza kimara, mbezi luis zipo za m 40, 50 , 60 hadi 75 kali na haziihitaji matengenzo

Nyumba zingine zipo zinazouzwa na bank na mahakama ninazo nyingi sana maeneo ya kimara, mbezi, mbezi makabe, manzese, mburahati, mabibo, sinza mtanzania hotel(ths mil 90 full ac ipo ktk smq 300), mbweni , tegeta nk

kama huoni unachohitaji usisite, piga nipe oda , utahudumiwa
mbarikiwe sana wapendwa

just call me for details
Lesian mollel
ALJ Gen CO Ltd
Cell 0652 314181 for 24 hrs


Share this :

Related Posts

0 Comments